KK collection

KK collection

can

can
adc

Wednesday, October 2, 2013

MANGE KIMAMBI "NIPO MUJINI......ARUSHA MKO TAYARI KUFUNGA MTAAAA?



Wadau wa Arusha, nawakumbusha tena

Bongolicious in Arusha itakuwa

October 5th,6th and 7th. Itakuwa ni Jumamosi, Jumapili na Jumatatu.

Tutakuwa Duka linaitwa Beauty Spot ,CCM Building Opp. Makumbusho

Kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 11 jioni.

10AM-5PM

Piga number hii for more info


0684 226 336

Exchange rate yangu ni 1,650 ni bora uje na dollars kabisa itakusave vijisent......

Kwa kupata vitu unavyovitaka wahi saa nne kamili.....


Naomba msije saa moja kama wadau wa Dar maana bado tutakuwa tunapanga alafu itabidi msubiri nje.....


Just make sure when we open the door ur the first one in....,


OMG, IM SOOOOOOOOOOOOO EXCITED, I CANT WAIT....


Na kwa wale mnaotaka kuniona tu kupiga story or kupiga picha, haina noma kabisaaaa yani


ila naomba mje mida ya jioni, around saa kumi au kumi na moja......

Asubuhi na mchana ntakuwa busy na wateja tutashindwa kupiga umbea vizuri....hahahahahhaha

PS: Naomba msije na mahand bag makubwa maana kuna wachache watakuja kwa nia ya kuiba tu....lol.....Hatutaki ya Dar yajirudie.....


Ila Arusha nawaaminia hamna tabia ya wizi,,,,,, Ila still naomba mje na vi hand bag vidogo pia kutakuwa na mlinzi mlangoni wa kucheki usalama so msijisikie vibaya kama itabidi uchekiwe begi kidogo....


ARUSHA STAND UP!!!!!!!!!!!!!!!


Mwanza kaeni mkao wa kula December yaweza kuwa zamu yenu hiyo ndo itakuwa safari yangu ya mwisho kwa kipindi hiki cha mimba........


December ,just before X'MAS napanga kupiga Dar na Mwanza........ Mwanza inabidi mni convince vizuri kuwa mko wengi huko mnaotaka Bongolicious....lol...


No comments:

Post a Comment